Ruka hadi maudhui
Sembosi Digital Sembosi Digital

BiasharaSoft - Mfumo wa uendeshaji wa Biashara

BiasharaSoft — mfumo wa usimamizi wa biashara nyingi kwa wafanyabiashara wadogo Tanzania: bidhaa, POS, mauzo, manunuzi, madeni, matumizi, kufunga siku, ripoti, wafanyakazi na michango.

Software
BiasharaSoft - Mfumo wa uendeshaji wa Biashara

BiasharaSoft — mfumo wa usimamizi wa biashara nyingi kwa wafanyabiashara wadogo Tanzania: bidhaa, POS, mauzo, manunuzi, madeni, matumizi, kufunga siku, ripoti, wafanyakazi na michango. Laravel 13 + React 19 + MariaDB, Kiswahili kwanza, rangi ya chapa #FF7900 juu ya #101C30. Inaendeshwa kwenye cPanel bila SSH — hivyo kila patch ni zip + installer URL mmoja.

Ukubwa: routes 112 · models 45 · controllers 36 · skrini 32 · migrations 18 · tests 113 (zote zinapita).

Modules: Dashibodi, Bidhaa, POS, Mauzo, Manunuzi, Stoo, Fedha (madeni/matumizi/kufunga siku), Ripoti, Wafanyakazi/Matawi/Majukumu, Mipangilio, Chat na Msaada.

Console ya super admin (/platform): wamiliki na michango, malipo, audit, switch moja ya "kila kitu bure", na inbox ya chat.

Zilizokamilika hivi karibuni: free-test switch (reversible, haiharibu billing) · chat owner↔admin (polling 4s, unread) · ukurasa /help wa mafunzo (sehemu 17) · homepage redesign · 500 fix, login fix, SYSTEM-AUDIT.md, na panel ya POS kutofunika "Kamilisha Mauzo" (imehakikiwa: overlapsTotal 0).

Ongea nasi WhatsApp